Archives de catégorie : swahili

Kuhuisha nyaraka za sauti Tanzania

Tanzania, tangu mwaka 2011, mradi ulianzishwa unaotazama kumbukumbu ya kihistoria ya Tanzania kuhusiana na Urithi wa Ukombozi wa Mwafrika. Tasisi husika za umma Tanzania zinajitahidi kulinda na kuhifadhi urithi huo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho kupitia ufadhili wa UNESCO pamoja na Jumuiya ya Ulaya. Kuna umuhimu mkubwa wa kuruhusu kumbukumbu za uhai wa Nyaraka za Sauti kusikika kupitia nchi husika. Warsha ya kwanza ilifanyika mwaka 2014, TBC, Dar es Salaam. Baada ya miaka mitatu, kabla ya mradi kuisha, warsha nyingine ilifanyika (yakifuatiwa na maonesho). Warsha hiyo ilitoa fursa ya kufunzwa utaalamu wa kidijitali na namna ya kuorodhesha taarifa za nyaraka za sauti. Taasisi nne ziliudhuria mafunzo hayo:Kutoka kulia kwenda kushoto: Continuer la lecture de Kuhuisha nyaraka za sauti Tanzania